Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa imepata fursa ya kuzungumza na mwandishi wa habari wa Radio One na kituo cha televisheni cha ITV kilichopo nchini Tanzania aliyefika New York kwa mara ya kwanza kuripoti kuhusu mjadala wa baraza kuu ulioanza Septemba 19 mwaka huu.


Stephen Chuwa aliyezungumza na Flora Nducha amepigwa butwaa kwa aliyoyashuhdia, kwenye baraza kuu na manzari ya jiji la New York. wasikilize. 
(MAHOJIANO NA STEPHEN CHUWA)
http://www.unmultimedia.org/radio/kiswahili/
AU
http://www.facebook.com/UNRadioKis
AU
http://twitter.com/redioyaum


AU moja kwa moja kwenye mahojiano yenyewe
http://www.unmultimedia.org/radio/kiswahili/2011/09/kuzingatia-muda-na-mpangilio-yamenifrahisha-umchuwa/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...