Aya weeeee...Masikini Fernando Torres, anazomewa baada ya kukosa bao na kubahatika kufunga badae.  Yaani licha ya ubutu wake kuendelea lakini pia Man U wamewapiga Chelse 3-1 kama wamesimama vile. chini anajiuliza kama aombe kurudi bwawani nini??

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Torres alifunga bao moja. 3-1. Mwanamapinduzi, ughaibuni!!!

    ReplyDelete
  2. man uuu mwaka wetu huu hatushikiki, hadi jamaa anatubu mbele ya mashabiki he he heeeee
    anko makoye upoo, mshua dunia nzimaaa umetuonaa?? mlatie wa rg poleeeeee weeee piga supu donge liishe....

    ReplyDelete
  3. Munapoandika habari fanyeni utafiti kwanza, haipendezi kutoa habari zisizo sahihi,kama ulifatilia kwa makini mchezo huo, matokeo yalikuwa ni 3-1 na sio tau bila na Fernado Torres ndio mfungaji wa hilo bao la Chelsea.NADHANI MWANDISHI WA HABARI HII ANGEREKEBISHA KIDOGO

    ReplyDelete
  4. michuzi mbona hujaandika mambo ya liverpool kupigwa 4-0? acha upendeleo pole kwa kipigo hicho

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...