KAKA MICHUZI HABARI ZA WIKIENDI, TUNAOMBA SANA SANA TENA SANA UPEPERUSHE HABARI HII HEWANI KWA UMMA WAPATE KUJUA MATOKEO YA MECHI KATI YA LIVERPOOL NA TOTENHAM, NI MUHIMU KWAKUWA KUNA SEHEMU ZA TANZANIA HASA HAPA DAR ES SALAAM UMEME ULIKATIKA MPAKA USIKU HUU, KWAHIYO MATOKEO YA MECHI HII YALIKUWA HAYAJAPATIKANA KABISA.

ASANTE SANA KAKA NA KAZI NJEMA....
MDAU UK

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. SISI BWAWAZZZZZZ........?????. MZEE WA FULANAZZZZZ UPO HAPO......

    ReplyDelete
  2. ha ha haaaa ankaliiiii naona four by far by four kwi kwii kwiiii habari hii umeirusha kwa shingo upande, ingekuwa ni man uu kapata mkong'pto huu ungeweka breaking news kabisa tena picha ya kwanza, vumilia utazoea! man uuu walienda loli kupata kikombeeee habari ndiyo hiyo!

    ReplyDelete
  3. Jamani, mbona mnazidi kumuumiza Ankal kwa kudai hayo matokeo ya mechi baina ya Tottenham na Liverpool? Ankal saa hizi ana mawazo mengi ya kufungwafungwa - muacheni! Furaha yake ni kupeleka hizo jezi zenye rangi ya pesa yetu huko Marekani!

    ReplyDelete
  4. jamaa anasema hapa Dar es Salaam,kisha chini anaandika mdau uk...sijaelewa!poleni wazee wa bwawazz!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...