Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akimwombea kura mgobea ubunge wa jimbo la Igunga kwa tiketi ya Chama, Dk. Dalaly Kafumu, katika mkutano wa kamepni za CCM kumnadi mgombea wake katika Kata ya Itumba, kijiji cha Itumba alikozaliwa mgombea huyo wa CCM.
Mukama akizungunza na wazee na vijana wa Kitaturu katika moja ya mikutano ya kampeni za CCM katika kijiji cha Chagana, Kata ya Itumba jimboni humo, jana.
TUTAMCHAGUA DK. KAFUMU- wazee na vijana wa Kitatulu katika kijiji cha Chagana wakiinua mikono kumwahidi hivyo Muka
Wazee, Jumanne Abdallah (88) na Paul Kashinde (82) wa Kijiji cha Ngazi Kata ya Itumba wakionyeshana picha ya mgombea wa CCM Dk. Kafumu wakati wakisubiri kwasili mgom,bea huyo kuhutubia mkutano wa kampeni katika eneo hilo, jana.
Vijana wa Itumba wakiwa na picha ya Dk. Kafumu wakati wakiingia kwenye mkutano uliofanyika katika kata hiyo.
Mratibu wa Kampeni za CCM, Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha, Mwigulu Nchemba akionyesha kadi ya CHADEMA baada ya kukabidhiwa na Geofrey Kahindye (kulia) aliyehamia CCM katika mkutano wa Kampeni , Itumba.
Watu wakiwa wamefurika katika mkutano ya kampeni uliofanyika Itumba kijijini kwa Dk. Kafumu.
Yessss!!!!! Safi sana sana. WanaIgunga huu ndio wakati wa kuwagaragaza bila huruma wale wapenda fujo wenye kuwavua hijabu wanawake wa Kiislamu kwa nguvu. Mungu ibariki Tanzania na CCM. Amin. Igunga ni CCM na CCM ni Igunga.
ReplyDeleteHUYO MMOJA ALIYERUDISHA KADI SII ZUZUTU ASIYEJUMA NINI MAANA YA CHAMA. ONA HAO WAFUASI WA C.. WALIVYOCHOKA!!!!!!!!!!
ReplyDelete