Mrembo Alexia Williams akipozi mbele ya washiriki wenzake wa Vodacom Miss Tanzania 2011 baada ya kutajwa kuwa ndie mshindi wa Vodacom Miss Personality na kupata tiketi ya kuingia nusu fainali ya Vodacom Miss Tanzania itakayofanyika September 10 mwaka huu katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Tayari warembo wengine wa nne wameshafanikiwa kuingia katika hatua ya nusu fainali.
Mrembo Alexia Williams akibebwa na wenzake wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 baada ya kutajwa kuwa ndie mshindi wa Vodacom Miss Personality na kupata tiketi ya kuingia nusu fainali ya Vodacom Miss Tanzania itakayofanyika September 10 mwaka huu katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Tayari warembo wengine wa nne wameshafanikiwa kuingia katika hatua ya nusu fainali.
Warembo wanne kati ya 30 wanaoshiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 waliopata kura nyingi za shindano la Vodacom Miss Personality wakipozi kwa picha baada ya kutangazwa. Kutoka kulia ni Dalilla Ghalib, Maua Kimambo, Alexia William na Cynthia Kimasha. fainali za Vodacom Miss Tanzania 2011 zitafanyika Septemba 11, mwaka huu katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...