Bwana Michuzi, salaam.
Awali nakusihi uweke jina langu kapuni, ili ndugu, marafiki na wanangu wasinishangae.Kusudi la ujumbe ni kukupatia picha nilizopiga zenye jina la mtaa mmoja katika Jiji la Kinshasa, Eneo liitwalo Gombe. Ukiona yafaa waweza kuwatundikia wadau kwenye blog yetu.Kazi njema.Mdau-Kinshasa.
Home
Unlabelled
salamu toka kwa mdau kinshasa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ha ha ha ha ha ...wacongo bwana!!!!!!1
ReplyDeletewewe nawe,sasa cha ajabu haswa hapo ni nini? hilo si jina tu kama majina mengine!!!!
ReplyDeleteMngetuambia jina lina maana gani kwa "kilingara" pia.
ReplyDeleteTobaaaah!!!!!!!!
ReplyDeleteKilingala na kifaransa hilo jina la mtaa linatankwa kitofauti na maana yake pia ni tofauti na tunayoifikiria kibongo. Ukweli ukitembea utaona mengi. Ndivyo ilivyo na kwa majina ya wenzetu wajapan, wahindi, wakibosho na wangoni. Muulize mkibosho yoyote kama kuna mtu anaitwa MBOYA. HAWA JAMAA BAADA YA KUJUA KISWAHILI WALIBADILISHA MAJINA YAO
ReplyDeleteInanikumbusha kifaransa changu cha Form Two: Je suis tombe'
ReplyDeleteLabda walitaka kuandiaka PUMBA teteteehh
ReplyDeleteKuna AVENUE MAVUZI PIA HAPO KINSHASA
ReplyDeleteMie nimecheka hayo maoni ya Hugo ndugu alkyd tunis michuzii, maana hofu kibao...
ReplyDeleteMbona wakilimanjaro wana majina ya ajabu, akina MBORO si wapo jamani kwa akina MBOWE. Kuna jamaa mmoja ilibidi alibadili jina ili apate kazi.
ReplyDelete