Wataalamu wa Afya pamoja na Madaktari kutoka Mikoa ya Kigoma, Mara, Shinyanga, Rukwa , Ruvuma na Arusha, wakiwa katika picha ya pamoja na Maofisa wa Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais katika mafunzo ya kuwajengea uwezo kuhusu kukabiliana na changamoto juu ya madhara yatokanayo na Viuatilifu vinavyochukua muda mrefu kutoweka katika mazingira,warsha hiyo ya siku mbili ilianza Septemba 14, mwaka huu.Picha na John Nditi.
Home
Unlabelled
Warsha ya Wataalamu wa Afya pamoja na Madaktari kutoka Mikoa mbali mbali yafanyika mkoani Morogoro
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...