Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa Kanisa la Anglican nchini, Askofu Mokiwa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga jana akielekea Korogwe ambako leo atakuwa mgeni rasmi kwenye ibada ya kuwekwa wakfu Askofu Mteule Maimbo Mdolwa wa Dayosisi ya Tanga.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kaka michuzi hivi serikali za wenzetu hazisamini dini au vipi?sijawahi kuona Waziri mkuu wa UK au Obama au hata nchi ya kidini kama Norway ikiwa kama hawa watawala wetu mala hivi mala wafuturisha kwavile wameshajuwa mswahili ukimtaka utampata kwene chakula basi kufuturisha kila kukicha (Qweman)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...