Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Bw. Liu Jianjun baada ya mazungumzo yake na Ujumbe wa Wawekezaji katika Kilimo na Bishara Ndogondogo ktika China, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba 26,2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Bibi Wu Hong kutoka Ofisi ya Rais nchini China baada ya mazungumzo yake na Ujumbe wa Wawekezaji katika Kilimo na Bishara Ndogondogo ktika China, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba 26,2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...