Meneja wa benki ya CRDB tawi la Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Allen Killango akitoa ufafanuzi kuhusu akaunti ya wanafunzi ya Schola wakati wa semina ya kuwaandaa wanafunzi wapya waliojiunga na vyuo vikuu katika semina iliyofanyika jijini Dar es Salaam na kudhaminiwa na benki ya CDRB. (Picha na Francis Dande).
Home
Unlabelled
crdb yadhamini semina ya kuwaandaa wanafunzi wapya waliojiunga na vyuo vikuu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...