Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa akielezea mbele ya waandishi wa habari, kuhusu vipaumbele vaya elimu walivyoweka wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika, Dar es Salaam . Kushoto ni Naibu Waziri wa wizara hiyo Mh. Philipo Mulugo. Picha na Kamanda wa MatukioBaadhi ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, wakitembelea mabanda mbalimbali ya maoneshoWasanii wa kikundi cha Nimujo cha Mwananyamala, Dar es Salaam, wakitumbuiza wakati wa ufunguzi wa maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru iliyoandaliwa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam

Bendi ya THT, ikitumbuiza katika maadhimisho hayoBaadhi wanafunzi wakiwa banda la Tume ya Vyuo Vikuu wakiuluzia mambo mbalimbali 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...