TAIFA STARS 
YANGA FC - UMOJA WA MATAIFA

WADAU WENYE DATA ZA ENZI HIZI TUNAOMBA MSAADA TUTANI TAFADHALI...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Misupu picha ya Juu ni Taifa Starz 1992-1994.ilikuwa na Simba players wengi kama Mwameja,Pazi,Masatu,Mogella Method,Zamoyoni,Twaha Hamidu,Deo Mkuki.Lakini bado utawaona Sanifu Lazaro,Joseph Lazaro,Yasin Abou Napili,David Rogers,Mwakalebela,Abdallah Burhan.

    ReplyDelete
  2. Enzi za Saleh Hijja midfielder kutoka Zenji wa kwanza kushoto waliosimama!!!

    ReplyDelete
  3. mjomba usilete picha kabla hujaziangalia vizuri au kuzipitisha klabu zinazohusika.Au kwa vile wakati huo gazeti lilikuwa uhuru tu?umeshasahihishwa usirudie tena

    ReplyDelete
  4. duh.. kihoma una kumbukumbu nzuri sana

    ReplyDelete
  5. Hizo ni enzi wa mzee ruksa, si mchonga

    ReplyDelete
  6. ya juu siyo simba ni timu ya taifa jamaniiiiii au hamjui kuangalia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...