Home
Unlabelled
STARS NA YANGA ENZI HIZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Misupu picha ya Juu ni Taifa Starz 1992-1994.ilikuwa na Simba players wengi kama Mwameja,Pazi,Masatu,Mogella Method,Zamoyoni,Twaha Hamidu,Deo Mkuki.Lakini bado utawaona Sanifu Lazaro,Joseph Lazaro,Yasin Abou Napili,David Rogers,Mwakalebela,Abdallah Burhan.
ReplyDeleteEnzi za Saleh Hijja midfielder kutoka Zenji wa kwanza kushoto waliosimama!!!
ReplyDeletemjomba usilete picha kabla hujaziangalia vizuri au kuzipitisha klabu zinazohusika.Au kwa vile wakati huo gazeti lilikuwa uhuru tu?umeshasahihishwa usirudie tena
ReplyDeleteduh.. kihoma una kumbukumbu nzuri sana
ReplyDeleteHizo ni enzi wa mzee ruksa, si mchonga
ReplyDeleteya juu siyo simba ni timu ya taifa jamaniiiiii au hamjui kuangalia
ReplyDelete