Gari namba T586 AVK likiwa limeharibika baada ya kugonga nyumba wakati dereva akiwa katika harakati za kumkwepa mwendesha pikipiki katika Mtaa wa Shule mjini Tabora juzi. Dereva na abiria wake walijeruhiwa. PICHA NA MDAU HASTI LIUMBA 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. KWA MWENDO HUU,ITABIDI TUU PLANI ZA NYUMBA ZIBADILIKE,STOO PAMOJA NA CHOO KIJENGWE UPANDE WA MBELE WA NYUMBA,OTHERWISE WATU ITABIDI TULALE NA MISAHAAFU NA BIBLIA PEMBENI

    ReplyDelete
  2. Jamani hivi ratio ya cement kwenye tofali za block ikoje? angalia huo ukuta tofali zake ni mchanga tu na cement inaonekana kuwa kidogo sana. tofali imara gari ndogo kama hiyo haiwezi kuharibu kiasi hicho

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...