Mwanzilishi wa kampuni ya  Apple  Steve Jobs amefariki dunia l;eo baada ya kupambana na ugonjwa wa saratani na hatimaye kusalimu am,ri kwa miaka minane. Rambirambi kibao zimeanza kumiminika dakika chache baada ya kutangazwa kwa kifo cha gwiji huyu ambaye ndiye aliyebuni siku za iPhone pamoja na Ipad na Ipod. Amekufa akiwa na umri wa miaka 56
 Marehemu Steve Jobs alipokuwa anazindua iPad
 Picha ya Mwisho: Marehemu Steve Jobs akisindikizwa na rafiki yake kuelekea hospitali Agosti 26 mwaka huu nyumbani kwake California

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. RIP Steve

    ReplyDelete
  2. RIP Sir. You will be missed.

    ReplyDelete
  3. Mungu amlaze peponi milee.Inaonyesha jinsi pesa hazina thamani kwa binadamu.Huwezi mtu ukanunua uzima.Mwenyezi akiamua basi tena

    ReplyDelete
  4. RIP Steve. hujafa hujaumbika! Loh!

    ReplyDelete
  5. RIP steve, ubunifu, ujasiri vitakumbukwa milele, pumzika kwa amani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...