Balozi Amina Akiwa Na Bwana Mfinanga (Mwenyekiti wa Wa Tanzania Michigan).
 Mwenyekiti Bw. Mfinanga, akimkabidhi Mwana Diplomasia Tuzo ya mwaka,Balozi, Mama Amina Salum Ali Huko Michigan.
  Balozi Mama Amina ali akipokea Tuzo kutoka kwa Mwenyekiti wa jumuia ya wa-Tanzania Michigan, Bw. Ayub Mfinanga.
Balozi Mama Amina Ali akiwa miongoni mwa Wa Africa walio tunukiwa Tuzo nyingine mbalimbali.
 Balozi akihutubia hafla hiyo ya kuadhimisha miaka kumi ya jumuia ya wa africa.
 Mama Amina Ali Akipozi na Bi Zeinab Mfinanga.
 Balozi akipozi Na Makamu wa Mwenyekiti wa UACO, Bw. Mfinanga na mama Mfinanga.
Wadau kutoka Nchi mbalimbali za Africa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...