Redio za Tanzania zinasikika online sasa kwa wingi. Hizi ni baadhi tu ya zinazopatikana hadi sasa (bofya jina la redio kwenda kwenye ukurasa wenye redio husika):
redio

Pia zipo redio za Kiswahili za Kimataifa kama vile BBC Swahili, VOA-Sauti ya Amerika, Sauti ya Ujerumani-DW, redio za Kenya, Uganda pamoja na pleya zenye nyimbo za dini. Zipate zotewww.wavuti.com/audios.html

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Mbona Sauti ya Zanzibar hamjaweka, lahau mwatubagua nanna hiyo abhaa!!!

    ReplyDelete
  2. quality ya tbc taifa bado sana!

    ReplyDelete
  3. asanteni.

    ReplyDelete
  4. zote ziko feki, too much wanna bees (fleva artists na presenters). Zinaboa sana! Tunataka nyimbo zetu za nyumbani sio za kuiga (fleva).

    ReplyDelete
  5. Hongereni Redio Qiblaten, sasa tutapata mawaidha, tumechoka kusikiliza ngoma, tupate maneno ya mungu kutoka Tanzania. keep it up

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...