Mkuu wa Kitengo cha Shughuli za Kibenki wa NBC, William Kallaghe (kushoto),  Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa benki hiyo, Mwinda Kiula-Mfugale (katikati) na Meneja wa Kadi wa NBC, Robert Mng’anya
wakizindua huduma ya Master Card ya Benki ya NBC jijini Dar es Salaam leo.
 Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC, Mwinda Kiula-Mfugale (kushoto) akizungumza wakati wa uzinduzi wa  huduma ya Master Card ya Benki ya NBC jijini Dar es Salaam leo.(katikati ni Mkuu wa Kitengo cha Shughuli za Kibenki wa benki hiyo, William Kallaghe na kulia ni Meneja wa Kadi wa NBC, Robert Mng’anya.
 Meneja wa Kadi wa NBC, Robert Mng’anya (kulia) akitoa maelezo kuhusu ufanyaji kazi wa kadi mpya ya Master Card ya NBC katika hafla ya uzinduzi wa kadi hiyo jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC, Mwinda Kiula-Mfugale na Mkuu wa Kitengo cha Shughuli za Kibenki wa benki hiyo, William Kallaghe.
Baadhi ya waaandishi walioshiriki uzinduzi wa kadi ya Master Card ya Benki ya NBC wakifuatilia uzinduzi huo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. HII NI DEBIT AU CREDIT CARD?NAOMBA JIBU.

    ReplyDelete
  2. hii ni Mastercard debit Card ndugu hapo....

    ReplyDelete
  3. dah kiswahili lugha yetu credit card yani unapewa kwa mfano laki 5 unaweza tumia lakini unatakiwa urudishe ela katika wakati maalu ndani ya mwezi mara nyingi ! ukipitisha una chajiwa sio

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...