Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu (katikati mbele) akiongozana na maofisa wa kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) cha mkoani Mbeya,maofisa wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) na waandishi wa habari, kutembelea maeneo mbalimbali ya kiwanda hicho, jijini humo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu (katikati) akizungumza na maofisa wa kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) cha mkoani Mbeya,alipotembelea kiwanda hicho hivi karibuni.
Meneja wa kiwanda cha bia cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) mkoani Mbeya, Calvin Martin (kushoto) akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu alipotembelea kiwanda hicho hivi karibuni.Katikati ni Ofisa Tawala Wilaya ya Mbeya, Geofrey Anania.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...