Maradhi ya kisukari, moyo, saratani na matatizo ya kupumua kwa miaka mingi yamekuwa yakizikumba zaidi nchi zilizoendelea na ndio maana hata kuna baadhi ya nchi waliyachukulia kama ni magonjwa ya matajiri, lakini mtazamo umebadilika.
Mkutano wa wakuu wa nchi kwenye Umoja wa Mataifa katika mjadala wa Baraza Kuu la 66 ulifahamishwa kwamba magonjwa haya sasa yameingia na kuanza kusambaa katika nchi zinazoendelea na nyingi ni masikini hata kumudu matibabu na gharama zake ni mtihani.
Nchi mbalimbali zimeanza kuweka mikakati ya kitaifa na kuchukua hatua za kuelimisha jamii kuhusu njia za kujikinga, kukabiliana na maradhi hayo, pa kupata msaada na taarifa, lakini si jambo rahisi lina changamoto nyingi ikiwemo fedha.
Mbali ya hayo utafiti wa kina unahitajika kwa mataifa masikini kutambua ukubwa wa tatizo ili kurahisisha mipango ya kulishughulikia. Tanzania ni moja ya mataifa hayo na waziri wake wa Afya mheshimiwa Haji Mponda katika sehemu hii ya pili ya majadala na Flora Nducha anafafanua kuhusu changamoto hizo.
Kusikiliza makala hii bofya
http://www.unmultimedia.org/ radio/kiswahili/
AU
http://www.facebook.com/ UNRadioKis
AU
http://twitter.com/redioyaum
AU moja kwa moja kwenye mahojiano yenyewe
http://www.unmultimedia.org/ radio/kiswahili/2011/10/ utafiti-zaidi-utahitajika- kuukabilia-ncds-afrika/
![]() |
| Mkuu wa Idara ya Kiswahili ya Redio ya Umoja wa Mataifa Bi. Flora Nducha akimhoji Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii wa Tanzania Dkt Hadji Mponda jijini New York, Marekani, hivi karibuni |
Mkutano wa wakuu wa nchi kwenye Umoja wa Mataifa katika mjadala wa Baraza Kuu la 66 ulifahamishwa kwamba magonjwa haya sasa yameingia na kuanza kusambaa katika nchi zinazoendelea na nyingi ni masikini hata kumudu matibabu na gharama zake ni mtihani.
Nchi mbalimbali zimeanza kuweka mikakati ya kitaifa na kuchukua hatua za kuelimisha jamii kuhusu njia za kujikinga, kukabiliana na maradhi hayo, pa kupata msaada na taarifa, lakini si jambo rahisi lina changamoto nyingi ikiwemo fedha.
Mbali ya hayo utafiti wa kina unahitajika kwa mataifa masikini kutambua ukubwa wa tatizo ili kurahisisha mipango ya kulishughulikia. Tanzania ni moja ya mataifa hayo na waziri wake wa Afya mheshimiwa Haji Mponda katika sehemu hii ya pili ya majadala na Flora Nducha anafafanua kuhusu changamoto hizo.
Kusikiliza makala hii bofya
http://www.unmultimedia.org/
AU
http://www.facebook.com/
AU
http://twitter.com/redioyaum
AU moja kwa moja kwenye mahojiano yenyewe
http://www.unmultimedia.org/

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...