Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Emmanuel Nchimbi (wa pili kushoto), akiwa na Mwenyekiti mpya wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Dioniz Malinzi (kulia), pamoja ma wajumbe wapya wa baraza hilo, Juma Pinto (kushoto) , na Alex Mgongolwa, baada ya kuzindua baraza hilo leo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Waziri Nchimbi akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wapya wa BMT
Wajumbe wa BMT wakimsikiliza Waziri Nchimbi aliyekuwa akihutubia wakati wa uzinduzi wa uongozi mpya wa baraza hilo.
Dkt. Nchimbi akizungumza wakati wa hafla hiyo. Kulia ni Mwenyekiti mpya wa BMT, Malinzi
Wajumbe wapya wa BMT wakiwa katia hafla hiyo
Picha na Kamanda Mwaikenda


Michezo wanacheza Vijana..
ReplyDeleteBaraza limejaa Wazee watupu.
Wapi na Wapi?
hata mpira wanacheza vijana lakini makocha ni wazee.
ReplyDeleteBaraza hili linaonekana kuwa na mkusanyiko wa watu wa kada mbalimbali na hivyo likishirikishwa vizuri na kufanya mambo kwa kuzingatia utaratibu na kufaidi utaalamu uliomo ndani ya baraza, basi linaweza kutoa dira yakinifu na mwongozo endelvu wa kulikwamua taifa katika hali ya sasa ya michezo ambayo kwa kzingatia hotuba ya waziri, hali ni mbaya sana.
ReplyDelete