
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na mmiliki wa kampuni ya usafiri wa Baharini Azam Marine Bw. Saidi Salim Bakhressa,wakati wa uzinduzi wa Boti mpya ya Kilimanjaro III ,ambayo hufanya safari zake kutoka Zanzibar- Dar es Salaam katika bandari ya Malindi Zanzibar,(katikati) Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Masoud Hamad Masoud

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Boti Mpya ya Kilimanjaro III inayomilikiwa na kampuni ya usafiri wa Baharini (Azam Marine) inayomilikiwa na Nd. Saidi Salim Said Bakhressa,(wa pili kulia) ambayo hufanya safari zake kutoka Zanzibar- Dar es Salaam, na uwezo wa kuchukua abiria 540 kwa wakati mmoja,uzinduzi huo ulifanyika leo katika bandari ya Malindi Zanzibar,(kushoto) ni Waziri wa Miundimbinu na Mawasiliano Masoud Hamad Masoud,(Kulia) ni Baharia Kassim Siri Matola


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa nahodha wa Kilimanjaro III Cpt. Clement R.Mgalula,wakati alipotembelea chumba cha nahodha huyo ambako shuhuli za uendeshaji wa chombo hicho hufanyika,baada ya uzinduzi rasmi,(wa tatu kushoto)mmiliki wa kampuni ya usafiri wa Baharini Azam Marine Bw. Saidi Salim Bakhresa,ambayo hufanya safari zake kutoka Zanzibar- Dar es Salaam,uzinduzi huo ulifanyika leo katika bandari ya Malindi Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akipokea zawadi kutoka kwa mmiliki wa kampuni ya usafiri wa Baharini (Azam Marine) Bw. Saidi Salim Bakhresa,wakati wa uzinduzi wa Boti mpya ya Kilimanjaro III ambayo hufanya safari zake kutoka Zanzibar- Dar es Salaam,uzinduzi huo ulifanyika leo katika bandari ya Malindi Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa mmiliki wa kampuni ya usafiri wa Baharini (Azam Marine) Bw. Saidi Salim Bakhressa,wakilekea katika Boti ya Kilimanjaro III kufanya uzinduzi rasmi wa Boti hiyo,ambayo hufanya safari zake kutoka Zanzibar- Dar es Salaam,ikiwa na uwezo wa kuchukua abiria 540,kwa wakati mmjoa,uzinduzi huo ulifanyika leo katika bandari ya Malindi Zanzibar,(kushoto) Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Hamad Masoud Hamad

Baadhi ya waalikwa katika hafla ua uzinduzi wa Boti Mpya ya Kampuni ya Azam Marine, KilimanjaroIII,wakiwa katika sherehe hizo zilizofanyika katika viwanja vya Bandarini Malindi Zanzibar,ambapo uzinduzi wa boti hiyo ulifanywa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Aliu Mohamed Shein,(hayupo pichani).Picha na Ramadhan Othman Ikulu, Zanzibar
Usafiri wa kwenda unguja hauna matatizo lakini kwenda pemba nadhani matajiri wetu mngewafikiria hawa wenzetu.
ReplyDelete