Home
Unlabelled
foleni ya leo barabara ya Kawawa rodi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivi kweli serikali ina mpango gani kuhusu hili?Bunge la Tanzania mmnafanya nini huko?
ReplyDeleteHii picha ya pili IMECHAKACHULIWA au mimi ndo mgeni wa barabara za BONGO?
ReplyDeleteMdau Samweli.
Hello! Hongera sana Kaka Michuzi kwa blog yako inayokwenda na wakati kwa habari na matukio mbalimbali. Ushauri naomba kabla ya ku-publish maelezo ya habari ufanyie editing kidogo coz makosa hujirudia kila mara, kwa mfano FOLENI YA BARABARA YA KAWAWA RODI (???) na pia najua ulimaanisha kusema HAFLA ila ukaandika GHAFLA YA INVEST... Sina hakika tatizo ni Kiswahili au kuna kitu kingine. Work on it kaka!
ReplyDeleteMbio za sungura ziliishia wapi? Si zilikuwa zijengwe za juu jamani kabla ya 2015? au nimekosea? Bongo yetu wajameni! Mswano tu! Wakipita wale wenyewe twawapisha mwee alafu libeneke linaendelea
ReplyDeleteHiyo picha ya mwisho imegeuzwa, au siyo Tanzania, uendeshaji wa magari barabarani nchini Tanzania tuna "keep left", sasa hiyo picha ya mwisho imekuwaje tena?
ReplyDeleteAngalia bango.. Miaka 50 ya.. (TCC).. picha imegeuzwa kama negative.. tehe tehe..
ReplyDeletePicha ya pili imegeuzwa, ukitaka kujua ukweli wake hebu angalia hilo bango la sigara hapo kwenye background
ReplyDeleteI think, mpiga picha wala hajakosea, picha ya kwanza imepigwa kwa nyuma magari yakitokea K'ndoni Mkwajuni kuelekea Magomeni mikumi. Picha ya pili imepigwa kwa mbele akitazama foleni ya magari kwenye curve ya kupandishia Magomeni mikumi. Sioni kosa hapo. Ndugu JIMMY CHUMA, karibu kwenye blog ya jamii, kwani unaonekana mgeni kwenye uwanja wetu ndugu yangu. Michuzi hajakosea hiyo lugha. GHAFLA(Hafla) au BARABARA YA KAWAWA RODI ni baadhi ya misamiati ambayo iliifanya na bado inaifanya blog yetu iwe maarufu. KWA KIFUPI NI LUGHA ILYOKUBALIKA KATIKA BLOG YETU. Kwa ushauri wangu, next time please don't comment about
ReplyDeleteit. Waosha vinywa watakushabulia ujute kuzaliwa bure. Thanks and Good luck bro.
it's funny barabara ya kawawa road duh chiboko
ReplyDeleteMimi sidhani kama huo ni utamaduni wa blog ya Michuzi kuchapia maneno na kuandika kiswahili kibovu (BARABARA YA KAWAWA RODI). Binafsi nam-support JIMMY CHUMA, kwa vyovyote Michuzi amechemsha, siyo GHAFLA ni HAFLA (Ndio maana amerekebisha baada ya kugundua kosa hilo). Hao waosha vinywa kama wamekosa la ku-comment waache waseme coz midomo ni yao.
ReplyDeleteHongera Michuzi kwa kupokea maoni na kuyafanyia kazi.
Anon wa Oct 8, 08:43. Picha ilikuwa imegeuzwa. Ikarekebishwa. Ndio we ukaiona. Usifikiri waliosema imegeuzwa hawana macho
ReplyDelete