Akipokea zawadi kutoka kwa rafiki yake. Kulia ni mama wa rafiki na kushoto ni  Mrs Asha Mjenga, mama wa Keller.
 Keller Mandela O. Mjenga asheherekea siku yake ya Hepi Besdei ya  kuzaliwa kwake jana Oktoba 9. Ametimiza miaka kumi.  

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. happy birthday my lvely son keller,umependeza sana.m/mungu akujaalie ufike miaka 100 na zaidi

    ReplyDelete
  2. Hongera Keller.......unakumbukwa sana na DOROTHY & DAVID.......Kila la Heri

    ReplyDelete
  3. Kwanza nimpe hongera Kijana Keller kwa kufikisha miaka kumi, si mchezo. Nataka kujua kwamba baba yake ni huyu ndugu na rafiki yetu Omari Mjenga? If so, naomba pia nimpe hongera ndugu yetu Omari kwa malezi. Kazi ya kulea kijana hadi kufikia hapo si mchezo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...