Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Othman Mohamed Chande akikaribishwa na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera, Henry Salewi, pindi alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba hivi karibuni, Mhe. Jaji alitembelea Mkoa wa Kagera kukagua miradi mbalimbali ya Mahakama ikiwamo kutembelea Mahakama za Mwanzo na Wilaya kwa lengo la kubaini matatizo mbalimbali yanayowakabili Watumishi wa Mahakama ya Tanzania. (Picha na; MARY GWERA, MAHAKAMA YA TANZANIA)
Home
Unlabelled
jaji mkuu alipotembelea mkoani kagera
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...