Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman, akisalimiana na baadhi ya Watumishi wa Mahakama wa Mkoa wa Kagera, Kanda ya Bukoba pindi alipotembelea Mkoa huo hivi karibuni kukagua miradi mbalimbali ya Mahakama mkoani humo.
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman, akipanda mti kama kumbukumbu katika moja ya Mahakama alizotembelea mkoani humo hivi karibuni. (Picha na Mary Gwera, Mahakama ya Tanzania)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...