Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico,Mh.Mwanaidi Sinare Maajar,akisalimiana na Katibu wa NEC ya CCM Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye wengine kulia ni Afisa Ubalozi Suleiman Saleh na Katibu Msaidizi Mkuu Itikadi na Uenezi,Sixtus Mapunda.
 Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico,Mh.Mwanaidi Sinare Maajar,akisalimiana na Katibu,akisalimiana na Katibu Masidizi Mkuu,Itikadi na Uenzi,Sixtus Mapunda,wengine ni Afisa Ubalozi Suleiman Saleh na Katibu wa NEC wa CCM,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye
 Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico,Mh.Mwanaidi Sinare Maajar akiongea jambo na Katibu wa NEC wa CCM,Nape Nnauye wakiwa pamoja na Katibu Msaidizi Mkuu Sixtus Mapunda(hawapo pichani) anaechukua notisi ni Afisa Ubalozi,Suleiman Saleh
 Kutoka shoto ni Katibu Msaidizi Mkuu,Itikadi na Uenezi,Sixtus Mapunda,Katibu wa NEC wa CCM,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye,Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico,Mh.Mwanaidi Sinare Maajar na Afisa Ubalozi,Suleiman Saleh.
 Katibu wa NEC wa CCM,Nape Nnauye akiongea Jambo huku Mh.Balozi Mwanaidi Maajar akimsikiliza.
 Katibu wa NEC wa CCM,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye(kulia) akisalimiana na Afisa Ubalozi kitengo cha Uhamiaji,Abbas Missana.
 Katibu Msaidizi Mkuu Itikadi na Uenezi,Sixtus Mapunda nae akisalimiana na Afisa Ubalozi kitengo cha Uhamiaji,Abbas Missana.
 Katibu wa NEC wa CCM,Nape Nnauye akisalimiana na Naibu Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico,Mama Munanka.
 Katibu wa NEC wa CCM,Nape Nnauye akisalimiana na Afisa wa Ubalozi,Edward Masanja.
 Katibu wa NEC wa CCM,Nape Nnauye akisalimiana na Afisa Ubalozi Agnes Lusinde

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Sixtus, heshima unapokuwa ndani ya nyumba, hasa unapokuwa na wanaokuzidi umri bila ya kujali madaraka, unavua kofia. Ni ushauri tu. Ukichunguza utagundua watu huvua kofia katika mazingira hayo. Ni ushauri tu ndugu yangu, sikushambulii.

    ReplyDelete
  2. Nape, ukiwa huko chonga/sawazisha kebin kwa juu, ni kama barabara za huku kwetu zinaponyeshiwa mvua.

    ReplyDelete
  3. Michuzi mfunde Mapunda mbona kavaa kihuni huni tu, ubalozi ni sehemu ya kuheshimika.

    ReplyDelete
  4. Protokali haijazingatiwa hapo Six. Utafikiri hujasoma Diplomasia bwana. Unakiaibisha Chuo!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...