Star Tv na Urban Pulse wanakuletea mahojiano kutoka kwa wadau waishio nchini Uingereza kuhusu mtazamo wao wa kumuenzi baba yetu wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyeyere tukielekea katika siku ya Nyerere Day. Mahojiano haya yaliwashirikikisha wadau wa UK Kuanzia Mwenyekiti wa CCM Maina Owino, Francia Chengula na Mr Singo
Home
Unlabelled
Kumbukumbu za Baba Wa Taifa Mwl. Nyerere kutoka kwa wadau Uingereza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...