![]() |
Mzee Josephat Kimori |
Mkeo mpendwa Christina, sisi wanao Yona, Herman, Ester, Evena, Naomi, Juma na Zenco, wakwe zako Stella, mama Jose, Niwa, baba Sabato na baba K pamoja na wajukuu wako wote tunakukumbuka na tunapungukiwa sana na ule upendo wako kwetu.
Ingawa kimwili umetutoka lakini kiroho utadumu kuwa katika mioyo yetu na hili pengo kamwe halitazibika. Mungu ailaze pema peponi roho yako milele
Amin!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...