Lori la Mchanga likiwa nje ya barabara ya Bagamoyo jana mchana,maeneo ya Mbezi Masana mara baada ya lori hilo kuchomoka tairi la mbele wakati likiwa kwenye mwendo na kupelekea kupoteza muelekeo.Nyuma ya Lori hilo ni Moja ya mashine zinazotengeneza barabara hiyo ya Bagamoyo,likisaidia kuondoa mchanga uliokuwepo kwenye lori hilo na kupakiwa kwenye lori lingine.
hapa ni mafundi wa lori hilo wakilifanyia matengenezo.
Linavyoonekana lori hilo baada ya kusogezwa pembeni kidogo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...