Ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo rodi unaendelea kwa kasi sana kama inavyosha picha hii katika maeneo ya Mbezi Tanki Bovu kutokea njia panda ya Kawe.
Mafundi wakiendelea na kazi ya ujenzi wa Daraja la Kawe.
Magreda yanayofanya kazi ya ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo yakiwa yamepaki kwa mapumziko mafupi.
Kazi ikiendelea.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...