Home
Unlabelled
lugha gongana.......
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mambo ya Clouds Radio hayo. Yaani mtu anaona bora aongee tu ingilishi ili mradi aonekane ama asikike kuwa anajuwa king'eng'e. Jamani Bongo kwa nini twalazimisha vitu? Kiswahili ni lugha ya 7 duniani kwa ukubwa, ya nini kujilostisha na lugha za watu?
ReplyDeleteClouds ni wapuuzi, tena mi ndo kabisa nimeacha kuwasikiliza karibia ya mwaka sasa. Cha kusikitisha pale Clouds ni kwamba, wasikilizaji wake wote asili mia 98.9 ni wabongo na wasiojuwa lugha ya kiingereza zaidi ya porojo za what's your name? Utashangaa presenters wake badala ya kuongea lugha yetu ya taifa nao wanaboronga kwa kuongea broken english. You people need to change, you are making a fool of your stupid self. Very embarrassing to listening to you!
ReplyDelete@anonymous 1&2 hahaha lisemwalo lipo.. tabu ni kwamba sasa hvi ukiongea kiswahili bila kuchanganya kingereza unaonekana hujasoma au mshamba
ReplyDeleteHivi hao clouds ni akina nani? Na mmiliki wa hii gari ana uhusiano gani na hao akina clouds? Naona kama nimepigwa chenga ya mwili hapa.
ReplyDeleteIngawa kukosea kiingereza ni bora zaidi kuliko kukipatia.
No Discussion
ReplyDeleteNatarajia Nimewaelimisha
Clouds ni clouds radio. Presenters wao wanatamba kwa kuongea broken english ili waonekane wanajuwa lugha. Ni sahihi tu kuwafananisha clouds na alieandika kwenye basi hili kwani ni yale yale tu, kulazimisha lugha ili mradi tu.
ReplyDelete