Askofu Charles Gadi wa Goodnews for All Ministry (aliyeinua mkono),akiwaongoza wachungaji mbalimbali, kuombea mvua kwa kuimwagia maji ramani ya Tanzania, kutumia kifaa maalum, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Biafra jijini Dar es Salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Africa will never cease to amaze me... "Kifaa maalum", tunaomba ufafanuzi zaidi kuhusu hiki kifaa na data za jinsi kinavyoweza kuleta mvua. Tumieni nguvu zenu kuhamasisha kulinda misitu yetu na vyanzo vya maji, hapo mtakuwa kweli mmeomba mvua inyeshe.

    ReplyDelete
  2. ama kweli usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Na siri ya mtungini aijuae kata.

    ReplyDelete
  3. nshimimana aka dumisaneOctober 08, 2011

    haya. na hawa watu wako serious hapo ujue?

    = = =
    Buffalo,
    New York

    ReplyDelete
  4. jamani hivi kwa nini wasiwaombee mafundi wa mitambo ya richmond wajaliwe ujuzi zaidi ili tatizo la kuzima zima umeme liishe??? maana mvua hata ikija saa nyingine inazidi inaleta na mafuriko..sasa ikizidi ikaleta na mafuriko nani atafidia hasara..waombaji ama waombewa....??? jamani tuwe tunaomba tunataja na ukubwa wa tatizo ama sivyoooo...??? mhhhhhh

    ReplyDelete
  5. Kama alivyosema mchangiaji hapo juu kuwa hamasisheni waumini wenu walinde vyanzo vya misitu, wasikate miti ovyo.

    Mimi nadhani nyie viongozi wa dini mnaenda shule na mnasomea mambo mbali mbali nadhani hata elimu ya mazingira pia. La msingi hamasisheni waumini wasikate miti kabla ya kupunda hapo ndo nitawaelewa ila hayo maombi yenu hayafiki popote.

    Ni sawa na ukiwa unaumwa halafu huendi hospitalini unajidai neno linaponya, hapo ndugu utakufa bila ``madrip``.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...