![]() |
Waziri Mkuu Mstaafu Mh Cleopa David Msuya akimpa pole Balozi Juma Volter Mwapachu kwa kufiwa na mwanae, Harith |
Karibu yake ni kaka wa Balozi, Mh. Bakari Mwapachu akifuatiwa na Mzee Hashim Mbita
Balozi Juma Volter Mwapachu akipewa pole na marafiki zake waliokwenda kumpa pole msibani
Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe akipokewa na Dkt Hellen Otaru alipowasili msibaniBalozi Juma Volter Mwapachu akifarijiwa na Mh Freeman Mbowe
Mh Bakari Harith Mwapachu akiongea na Mzee Hashim Mbita (kulia) na Mh Freeman Mbowe msibani
![]() |
Waziri Mkuu Mstaafu Mzee Cleopa David Msuya akiweka saini katikam kitabu cha maombolezo hapo msibani |
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitia saini katika Kitabu cha maombolezo cha Harith Mwapachu, ambaye ni mtoto wa Juma Mwapachu, aliyefariki dunia leo asubuhi.Kulia ni Balozi Juma Mwapachu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na mke wa Balozi Juma Mwapachu, Rose Mwapachu, wakati alipofika nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam leo jioni kumpa pole kufuatia kifo cha mtoto wake, Harith Mwapachu kilichotokea leo asubuhi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA Freeman Mbowe, wakati walipokutana katika msiba wa mtoto wa Balozi Juma Mwapachu, Harith Mwapachu nyumbani kwa Mwapachu Mikocheni jijini Dar es Salaam leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya waombolezaji, wakati akiondoka nyumbani kwa Balozi Juma Mwapachu, wakati alipofika kutoa pole kufuatia kifo cha mtoto wa Balozi Juma Mwapachu, Harith Mwapachu leo Oktoba 11. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
mUngu amrehemu,is that Harith who we went to Arusha School with,mdogo wake Hamza?....anybody?
ReplyDeleteR I P HARITH.MOLA AWAPE NGUVU WAFIWA KUKABILIANA NA FARADHI ALIYOIPATA MWENZETU.
ReplyDeleteMay His Soul Rest In Peace,
ReplyDeleteMAY THE SOUL OF HARITH MWAPACHU REST IN PEACE
ReplyDeleteInna lillah wa inna ilayhirajiuna
ReplyDeleteAnonymous wa kwanza, ndio Harith unaemsema, hatunaye duniani. RIP Harith
ReplyDeleteMungu awalaze mahali pema peponi,amina
ReplyDeletena Mungu awape nguvu wafiwa katika kipindi hiki kigumu kwa kuondokewa na wapendwa wao.
Poleni wadau wote wa Limbachia na Royal Mushi kwa kumpoteza member.
ReplyDeletePole mzee wetu Mwapachu na familia kwa msiba huu wa Harith. Tulikuwa naye The Grange school Nairobi Kenya kwa niaba ya wale wote waliosoma naye Nairobi Tunasema Mungu alitoa, mungu ametwaa ailaze roho ya marehemu Harith pahala pema peponi AMEN
ReplyDeleteyes that is Harith mdogo wake Hamza aliyekua Arusha School
ReplyDelete