Ongeza siku za kuishi kwa kuvunja mbavu na katuni kila siku za wachoraji mbalimbali kwenye www.komicfirst.blogspot.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ndo zilivyo akili za Dada zetu wa kibongo.. Wanataka mterezo tu!

    Mabinti wa kizungu ukimpa offer inamaanisha umemdharau na atakuchukia... Wanataka kila mtu alipe cha kwake au mlipe nusu nusu ya bill
    Na ndiyo siri ya maendeleo yao.

    ReplyDelete
  2. teh teh teh ...hao makonda wakome na ubazazi wao....kila mtu wamwitaje mchumba weye...????

    ReplyDelete
  3. kaka siku hizi wakina dada hawataniwi.ukibip unapigiwa sasa inakuwa kazi kwako.kunyoa au kusuka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...