Mbunge wa Mchinga Mh. Said Mtanda (kulia) akipata maelezo toka kwa injinia wa masafa wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini Bw Fuad Adam kwenye banda la mamlaka hiyo inayoshiriki kikamilifu katika wiki ya Posta Duniani katika viwanja vya Mlimani City jijini Dar es salaam ikiwa ni pmoja na maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara ya Shirika la Posta
Wadau wa Mamlaka ya Mawasiliano tayari kutoa huduma kwa wananchi bandani pao
Its good to see ma school mate in real World, Big Up Mr Fuad Adam.
ReplyDeleteYa mate Bwiru Boys
nimefurahi sana kukuona fuad adam maana tangu tulikutana Amsterdam naukaondoka atujaongea tena mimi uncle wako wa holland ,big up my uncle
ReplyDelete