Mpiga Drum wa Bendi ya Extra Bongo, Martin Kibosho (kulia) na Mdogo wake Mpiga Drum wa Bendi ya Twanga Pepeta,James Kibosho wakiweka msalaba kwenye Kaburi la Marehemu Dada yao,Beatrice Kibosho aliyezikwa jana kwenye Makaburi ya Mburahati Jijini Dar es Salaam.
Mpiga Drum wa Bendi ya Extra Bongo, Martin Kibosho akiweka msalaba kwenye Kaburi la Marehemu Dada yake,Beatrice Kibosho aliyezikwa jana kwenye Makaburi ya Mburahati Jijini Dar es Salaam.




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...