Rejea taarifa ya msiba wa Mzee Said Muhammad Sikamkono (pichani). Mazishi yatafanyika leo tarehe 13/10/2011 katika makaburi ya Hainalt Garden of Peace saa nane mchana. Ila kabla ya makaburini tunaombwa wote tufike msikiti wa Sakina Walthamstaw (basi namba 179) saa sita na nusu mchana. 

Msiba uko nyumbani kwa marehemu Woolwich Dorkyard ambako wote tunakaribishwa muda wowote kujumuika na familia ya marehemu wakati huu wa majonzi .Wakina mama pia wanaweza kufika msikitini au nyumbani kwa marehemu kwa ajili ya kutoa pole.



Address ya sehemu ya msiba ni;
Woolwich Ferry
405,Frances Street, London.
SE18 5JU.

Kwa maelezo zaidi  tafadhali wasiliana na;
07813539025 - Haruna mbeyu.Katibu Jumuiya ya Watanzania - London
07766454596 - Abdallah Mdidi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...