Mheshimiwa Profesa Jumanne Maghembe, Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika akiwa katika mazungumzo na Bwana Richard Ragan, Muwakilishi Mkazi wa Mpango wa Chakula Duniani (WFP) kuhusu usalama wa chakula katika Ukanda wa Mashariki, Kati na Pembe ya Afrika. Kulia ni Bwana Mohamed Muya Katibu Mkuu wa Wizara.
Home
Unlabelled
Mh. Maghembe akutana na Muwakilishi Mkazi wa Mpango wa Chakula Duniani (WFP)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...