Mbunge wa Kinondoni Mh. Iddi Azzan (shoto) akiwa na mmoja wa viungo mahiri wa soka nchini Ally Yusuf 'Tigana' kwenye viwanja vya Leaders Club Jumapili. Tigana, aliyepachikwa jina la mchezaji hodari wa Ufaransa mwenye asili ya Mali, Jean Amadou Tigana, kutokana na kufanana naye katika kulisakata kabumbu, hivi sasa ni mmoja wa maveterani wanaochezea Tanzania Stars na bado yuko fiti. Tigana ameshawaki kuchezea Yanga, Simba na Taifa Stars kwa muda mrefu
Home
Unlabelled
mheshimiwa iddi azzan na ally yusuf tigana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...