Mkuu wa jukwaa la Wahariri Tanzania Bw.Absalom Kibanda akijitambulisha kwa menejimenti na wafanyakazi wa SSRA wakati wa mkutano wa wahariri wakuu uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa SSRA,jijini Dar es Salaam.wa kwanza kushoto kwake mi mkurugenzi mkuu wa SSRA Bi. Irene Isaka na wa pili ni mkuu wa kitengo cha mahusiano na uhamasishaji Bi.Sarah Kibonde Msika
 Mkurugenzi mkuu wa SSRA,Bi. Irene Isaka akizungumza na wahariri wakuu wa vyombo vya habari katika mkutano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa kitengo cha mahusiano na uhamasishaji Bi.Sarah Kibonde Msika  (aliesimama) akiwakaribisha wahariri wakuu kwenye mkutano wa SSRA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...