Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama,Jenerali Devis Mwamunyange apokea kikombe cha ushindi pamoja na ngao kutoka kwa Meja Jenerali Nicholas Miti ambaye aliongoza msafara wa jeshi la tanzania nchini msumbiji katika kusheherekea miaka 25 ya kuwa kumbuka mashuja walio pigania uhuru wa msumbiji.Sherehe hizo ziliambatana na michezo hivyo timu ya miguu ya JWTZ ilishinda na kuzawadiwa kikombe.kulia ni mnadhimu wa michezo Jeshini, Luteni Kanali Richard Mwandika.hafla fupi ya kukabidhi kikombe ilifanyika katika Makao Makuu ya Jeshi.jijini Dar es Salaam.Picha Chris Mfinanga
Home
Unlabelled
MKUU WA MAJESHI NCHINI APOKEA NGAO PAMOJA NA KOMBE KUTOKA KWA KIONGOZI WA MSAFARA WA ASKARI WA JWTZ WALIOKUWA NCHINI MSUMBIJI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Generally, I'm proud of the work the men and women out there who protect our country in all ways and all means...
ReplyDeletePersonally, I'm proud of the work of my uncle out there... Go uncle!!
Ignas