Home
Unlabelled
ankal alipopambana na sporah
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duh! waafrika still thinking in tribal terms. "Natafuta mchagga"
ReplyDeleteJasiri haachi asili!
ReplyDeleteKUSOMA GAZETI. HEHEHEEEEEE KAMA HUJUI MAANA YAKE SHAURI YAKO
ReplyDeleteKuna ule msemo kuwa "Wachaga wanawake wa kichaga sometimes husoma magazeti wakati wa.... na kukuuliza aisee hujamaliza tu?".
ReplyDeleteNafikiri hapo ndipo palipomfurahisha mtu katika mahojiano
huyu mdada aulize wenzie kuhusu usomaji wa magazeti, kweli huyu ni kalaga baho, niangusage tu sambi sako!!!!
ReplyDeleteKama kawaida yetu wabongo,kiingereza sentensi 1 na nusu halafu unatumbukiza kiswahili (swahingilishi), kaka Michuzi Sporah alianza vizuri na wewe pia ulianza vizuri lakini mara tu ukaanza kumvuta dada Sporah kwenye Swahingilishi, sasa ndugu zetu wengine waafrika wasiojua kiswahili na swhingilishi watapata ujumbe namna gani?? wabongo acheni jamani.Duhh kweli bongo bado ni kiboko.
ReplyDeleteNakuomba michuzi usiibanie hii, itoe watu wasome usione aibu.
michu hebu tueleze kusoma gazeti maana yake nini please mkuu umeniacha kwenye mataa kama mdada sporah please michuzi tufahamishe wadao wako
ReplyDelete