MWENYEKITI WA ASET INAYOMILIKI BENDI YA TWANGA PEPETA, MR BARAKA MSIILWA, AMEFIWA NA MKWEWE, MZEE ALLY JUMA LHEY, BABA MZAZI WA MKEWE, MRS TUNU LHEY BARAKA, ALIYEKO LONDON UK.
MSIBA HUU UMETOKEA ALFAJIRI YA LEO JUMANNE 18/11/2011 NYUMBANI KWA MAREHEMU UJIJI KIGOMA.
MAZISHI YALITEGEMEWA KUFANYIKA JIONI HII BAADA YA SWALA YA ALASIRI NYUMBANI KWA MAREHEMU MTAA WA LIVINGSTONE, UJIJI, KIGOMA.
HABARI ZIWAFIKIE WATOTO NA WAJUKUU WOTE WA MAREHEMU WAISHIO LONDON, LEICESTER, OMAN, BURUNDI, DAR ES SALAAM PAMOJA NA NDUGU NA MARAFIKI WOTE POPOTE WALIPO.
INNA LILAH WA INNA ILLAH RAJUUN
poleni sana kina Baraka
ReplyDeleteMzee wetu mzee Lhey (Mzee Super). Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
ReplyDeleteInna Lillahi wa Inna Illahi Rajuluun. Poleni sana wafiwa: Tunu, Abbabi, Mwicha, Lhey,Yao na wengineo wote. Yote na kazi ya M/Mungu na sote tunaelekea huko.
ReplyDeletePoleni sana ndugu,familia yote ya Lhey,popote mlipo ni msiba mzito huu Ujiji kwetu,Inna Lillahi wa Inna Illahi Rajiun.
ReplyDelete