Kwanza kabisa Tunapenda kuchukuwa nafasi Hii kuwasalimu watu wote Wakubwa Shikamoo na wadogo Mambo vipi, Umoja wa Matukio na wanavyuo Tanzania (www.tzwanavyuo.blogspot.com) inayo furaha kuwaletea habari njema wale wanafunzi wote ambao walikosa nafasi za kujiunga na vyuo katika mchakato mzima wa awamu ya kwanza na awamu ya pili. 

Lakini sasa baadhi ya vyuo vikuu vikiwemo Teofilo Kisanji University, Stefano Moshi Memorial University College,St. Augustine University of Tanzania, Ruaha University, National Institute of Transport, Iringa University College, Institute of Finance Management, Eskerforde Tanga University, University of Dodoma na Ardhi University vimetangaza baadhi ya nafasi hizo. 

Nafasi zimeelezewa vema na pia mwaweza tazama wapi unataka kujiunga. Fungua sasa na ufuate maelekezo na kutuma maombi yako bila kuchelewa Tunawatakia mafanikio mema wale wote ambao wataenda kujiunga. Mwisho tunapenda kuwakumbusha kwamba ule mtandao wenu wa wanavyuo Bado unakungoja wewe ambae haujajiunga BOFYA HAPA KUJIUNGA NA SOCIAL NETWORK YENU     Pia   BOFYA HAPA KUJIUNGA NA FAN PAGE YENU nyote mnakaribishwa. 

Na kama mna matukio mbali mbali ya vyuoni kwa wanavyuo wote watanzania waliopo nje na Ndani ya Tanzania na Watumishi wa vyuo kama mna matangazo ama matukio mnataka kuyaposti pia  tutumieni kupitia twanavyuo@live.com 

Kutazama nafasi mpya za masomo bofya hapa: www.tzwanavyuo.blogspot.com

Kwa niaba ya Wenzetu ni sisi,
Matukio na wanavyuo Crew

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...