Naibu Waziri wa Afya wa Zanzibar, Dr. Sira Ubwa Mamboya (mwenye kitenge) akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Canada Mhe. Alex C. Massinda (mwenye shati jeupe) na Maafisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini humo kwenye picha ya pamoja.kutoka kushoto ni Bw. Paul Makelele, Bw Richard Masalu, Mhe. Balozi Alex C. Massinda, Mhe. Dkt. Sira Ubwa Mamboya, Bw. Richard Tibandebage na Bw. Joseph Sokoine.
Home
Unlabelled
Naibu Waziri wa Afya wa Zanzibar amtembelea Balozi Massinda nchini Canada
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...