Home
Unlabelled
Ni kwamba hiki kibao hakionekani au inakuwaje??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nafikri huruhusiwi kuegesha gari upande huu kilikotazama ,lakini walipoegesha hawa waswahili wenzangu ,panaruhusiwa
ReplyDeleteBrother, kibao kinaonekana sana ila kwa mbele tu. sasa hapo mimi nilichofanya nimepaki kwa kupiga reverse kwahiyo iko poa tu hapo kwa sheria za bongo. ubaya kama ningepaki kwa mbele ya alama...hahahahahaha bongo tambarareeeeeeeeeeeeee
ReplyDeletekinaonekana ila hakiwahusu
ReplyDeletekaka michuzi sasa wewe ona wenzako hao wameweka gari nawe upaki lako... unafungiwa chuma! yaani hii double standard na kujuana au ualwatanwa bongo balaa! ndio maana watu wanalalmika kwa nini kwanza, hakuna parking facilities na magorofa yanajengwa bila parking kila asubuhi, pili kwa nini baadhi tu ya magari ndio yafungwe chuma kama wote ni watenda kosa!! inauma sana na wenye STK hawajali!
ReplyDeleteJamani hizi sheria za barabarani za wapi? ndio maana leseni zetu ulaya hawazitambui!!!! (leseni zenyewe za kupeana kwa rushwa na barabara zenyewe zenye alama za kueleweka ni za kuhesabu) Hao wote hapo wana makosa- au labda kwa kibongo ni vice versa Mmh! Halafu tunashangaa kila siku ajali haziishi-kweli tumebarikiwa na Mungu aturehemu!
ReplyDeleteUnashangaa hili ebu nenda pale karibu na Wizara ya mambo ya Ndani uone magari ya Polisi yalivyoegeshwa mpaka kuziba kabisa njia za waenda kwa miguu. Kama wasimiajHii ndio bongo ndugu fanya unaloweza ila akili mu kichwa!
ReplyDelete