Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. ANKAL KWA MOYO WANGU MMOJA NIMEMSIKILIZA HUYU KIJANA KWA KWELI NI JEMBE LA NGUVU.MUNGU AMJALIE KATIKA MAENDELEO YAKE YA MBELENI NAMUOMBEA PIA APATE NAFASI NZURI YA UONGOZI KTK NCHI ILI AWANYOOSHE WALIOPINDA.
    MDAU
    NORWAY

    ReplyDelete
  2. mbona mnabana maoni,atajifunzaje kupitia wanao mzidi shule na utaalam?

    ReplyDelete
  3. mr Mashauri uko smart man, inabidi uandae kongamano kwa ajili ya kuwapa darasa viongozi kuanzia mh Rais,waalimu mpaka wanafunzi

    kila la kheri

    ReplyDelete
  4. We need more of these type of people in Tanzania. Jamani ili kuwa na the best customer service watu wanatakiwa wajue they must have courtesy and concern of the service their providing to their customers. Wawe wakarimu na wenye kuuvaa uhusika wa kazi zao kwa kujiuliza je ninge kuwa mimi ningependa kuhudumiwa vipi?? Lakini hilo kwa Tanzania yetu ni kazi kulipata we need to learn people and change ndio maendeleo yenyewe!

    Asante kwa hotuba nzuri saana i think hii ndio hotuba bora inastahili taji la miaka 50 ya uhuru!

    Shamohds (Toronto)

    ReplyDelete
  5. That is beautiful Masha.

    ReplyDelete
  6. great stuffs!
    jamaa mkali sana

    ReplyDelete
  7. kk kila neno uliloongea point tupu,yaan nyie mnatakiwa kwenye kutengeneza mitaala ya mashuleni

    ReplyDelete
  8. Kwani huwezi kuongea hayo yote kwa Kiswahili...unachanganya kingereza cha nini wakati unajua Kiswahili fasaha!

    ReplyDelete
  9. customer care kwa Tz ni chafu kuanzia ofisi za serikali hadi hospitalini. Ila mi nawahasa wote mliofika Ulaya tupeleke customer care nyumbani ili rushwa ifutike. Angalieni jinsi hata kupanda bus tunapanga foleni na hospitali tunabook appointment unaumwa sana ita ambulance na siyo kwenda tu na kuwapita wenzio. Pia jamani mbona hata vyuoni tunafundishwa?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...