The Prime Minister, Mizengo Pinda speaking to Mwanaidi Maajar, Tanzania Ambassador to the Uniteted States of America (left) and Board Director of Empower Tanzania Inc.Carlene Embreb at the IOWA- TANZANIA SUMMIT organised by empower Tanzania inc. at the World Food Prize Hall of Laurentes in Des Moines, Iowa on October 11,2011.
Home
Unlabelled
Prime Minister in usa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
mbona mwanamme na mwanamke waliosimama hapo nyuma hawatoi ushirikiano katika picha kwa dhati?na nikijaribu kuwafunua mioyo yao hawaamini kwamba mtoto wa mkulima ndiye waziri mkuu Tz!!!!!
ReplyDeletemtoa mada hapo juu bila shaka una matatizo ya upeo wako
ReplyDeletemtazamo wa picha hii unajionyesha kuwa hii haikuwa picha maalumu ilikuwa ni katika zile picha zinazopigwa kiholela kwahiyo ilikuwa sio picha ya kusema wote wakae mkao wa kupiga picha ilikuwa ni picha iliyopigwa wakati wahusika hao wapo kwenye maongezi ya hapa na pale
mdau.