DR.SHANAMESIA ELISHIWAKWE MUSHI

27/7/1927-13/08/2011

FAMILIA YA BWANA NA BIBI GEORGE ISRAEL MNYITAFU KWA NIABA YA FAMILIA YA MAREHEMU DR.SHANAMESIA ELISHIWAKWE MUSHI ,TUNAPENDA KUTOA SHUKRANI NYINGI NA ZA DHATI KWENU NINYI WOTE MLIOKUWA NA SISI WAKATI WA KUUGUZA BABA YETU MPENDWA HADI PALE BWANA ALIPOMWITA KATIKA NYUMBA YA MILELE 13/08/2011 NA KUZIKWA TAREHE 16/08/2011 MACHAME KISIKI.

SHUKRANI ZIWAENDEE MADAKTARI NA WAUGUZI WA HOSPITALI YA MACHAME,KCMC,REGENCY NA MUHIMBILI,WAFANYAKAZI WA MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA(TRA-DAR ES SALAAM,MOSHI NA ARUSHA),UONGOZI WA KANISA LA AZANIA FRONT(MCHUNGAJI C.MZINGA,A.KIBONA NA E.LWIZA),VIKUNDI VYA KWAYA(AZANIAFRONT-KWAYA KUU,KWAYA YA VIJANA NA KWAYA YA AGAPE),MSAIDIZI WA ASKOFU DAYOSISI YA KASKAZINI MCHUNGAJI SHOO,MKUU WA JIMBO,MCHUNGAJI GLADNES SHAYO WA USHARIKA WA KALALI,PAMOJA NA WOTE WALIOSHIRIKI KWA NAMNA MOJA HADI NYINGINE KATIKA KUUGUZA HADI KUMZIKA BABA YETU MPENDWA.

ASANTE NA BWANA AWABARIKI

BWANA ALITOA NA BWANA ALITWAA JINA LAKE LIIMIDIWE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...